Waziri wa habari utamaduni utalii na michezo Abdilah Jihad Hassan akimkabidhi bendera nahodha wa timu ya Taifa ya Zanzibar Agrey Moris huko kikwajuni mjini zanzibar katika sherehe za kuwaaga wachezaji wa timu hiyo wanaokwenda kweye michuano ya Tusker Cecafa Challenge Cup 2011. 
Waziri wa Habari Utamaduni utalii na michezo akizungumza na wachezaji wa timu ya taifa ya Zanzibar katika hafla ndogo ya kuwaaga iliyofanyika kikwajuni mjini zanzibar kushoto ni naibu waziri wa habari utamaduni utalii na michezo Bihindi Hamad Khamis na kulia ni Rais wa chama cha soka cha zanzibar Ali Fereji tamimu
Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zanzibar Zanzibar heroes wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya habari pamoja na viongozi wa chama cha soka cha Zanzibar