Wapenzi wa Maganga One Blog leo timu yetu ya Taifa(Taifa Stars) inajitupa uwanjani kupambana na timu ya taifa ya Chad kwenye uwanja wetu wa nyumbani.Mechi ya kwanza tulicheza majuzi nchini Chad na tukafanikiwa kuwafunga nyumbani kwao goli 2-1.Ili tusonge mbele tunahitaji ushindi wa aina yoyote,Shime kina baba Shime kina mama mjazane uwanjani kuishangilia timu yetu.
 Maganga one.
World Cup qual. - Africa (Qualification)
11:37 November 15
12:30 Madagascar ? - ? Equatorial Guinea
14:00 Kenya ? - ? Seychelles
14:00 Tanzania ? - ? Chad
14:30 Burundi ? - ? Lesotho
14:30 Rwanda ? - ? Eritrea
15:30 Congo ? - ? Sao Tome and Principe
15:30 DR Congo ? - ? Swaziland
16:30 Togo ? - ? Guinea-Bissau
18:00 Mozambique ? - ? Comoros
19:00 Namibia ? - ? Djibouti