Miss Tanzania 2011, Salha Izrael akizungumza kuelezea moja ya vitu vya sanaa za uchongaji ambazo Nchi ya Tanzania inasifikia kuwa navyo na kuwa ni moja ya vivutia vya Utalii, wakti alipokuwa akishiriki katika shindano la Beauty with a Purpose lililofanyika wakati wa chakula chja hisani. Mrembo huyo aniwakilisha Tanzania katika Mashindano Makubwa ya Urembo Duniani yanayotaraji kufanyika Novemba 6, 2011 huu jijini London Uingereza. (Na father Kidevu)