Jioni ya leo kwa waangalia Tv usijisahau kuweka mambo sawa na kwa wale waliokata ticket wazikague ticket zao mahala walipoziweka,maana ni kivumbi kati ya timu pinzani,nazungumzia CHELSEA FC na FC LIVERPOOL.