Wakati huohuo mechi kati ya Norwich C. na Arsenal mpira umeshaanza na sasa ni kipindi cha pili na dakika ni ya 73 Norwich C.  1  - Arsenal 2 .nitawaletea matokeo ya jumla usiku huu baada ya mechi zote kuchezwa.na kwa upande wa kulia wa blog hii kuna kijibox kidogo chenye kukuonyesha matokeo ya ligi kuu nchini Uingereza,jaribu kutulia na kuangalia kwa makini utakiona.
15:00 Everton ? - ? Wolverhampton W.
15:00 Manchester C. ? - ? Newcastle U.
15:00 Stoke C. ? - ? Queens Park R.
15:00 Sunderland ? - ? Fulham
15:00 West Bromwich A. ? - ? Bolton W.
15:00 Wigan Athletic ? - ? Blackburn R.
17:30 Swansea C. ? - ? Manchester U.