Mama huyu anasubiri maji yapungue ili avuke. Hiii ndo hali halisi iliyopo huko Mto wa Mbu. Hali ni ngumu na watu wapo katikia mazingira hatarishi.(Na FK blog)