Enzi hizoo jamani ilikuwa hatari sana,maana mtu unaning`inia utake usitake na ukifanya mzaha watu wanakusachi unajikuta huna hata nauli.Usafikiri wetu ulikuwa wa shida sana.Je kuna mtu anayekumbuka mambo ya UDA? au kuna mwenye kujua kirefu cha UDA?
                     (picha na mdau J`biboze.)