wanafunzi wa vyuo vikuu vya mkoa wa Kilimanjaro wakimshangilia mmoja kati ya washiriki wa tamasha la Redds Uni Fashion Bash 201
Mshindi wa pili kwenye upande wa Mitindo----- toka chuo kikuu cha MUCCOBS na kujinyakulia kititta cha Tsh 500,000.

Hallow wadau!!!!

Picha hizo za fainali ya Redds uni fashion Bash

Fainali ilifanyika katika ukumbi wa Glaciers Inn Upo Moshi mjini.

                        (Mdau, Innocent Melleck)