ANGALIZO MUHIMU KWA WAPENZI WA SOCCER ESPECIAL LIGI KUU NCHINI UINGEREZA NA CHAMPIONS LEAGUE.

Wapenzi wa Mpira wa miguu espicial ligi kuu ya Uingereza na Champions League.
Upande wa kulia wa Blog hii kwenye kijibox cha tatu toka juu kimeaandika neno FOOTBALL SCORE LIVE.Hapo kuna matokeo ya ligi kuu ya mechi zote zinazochezwa live nchini Uingereza,kila goli linapofungwa na matokeo unayapata muda huohuo,kadhalika matokeo ya Champions League pia yanapatikana hapo kwenye hakohako kajibox.

Haijaishia hapo,msimamo mzima wa ligi kuu nchini Uingereza unaweza kuuangalia kupitia hapohapo kwenye hako kasanduku kalikoandikwa FOOTBALL SCORE LIVE,Jinsi ya kuangalia inakubidi utulize kichwa chako vyema endapo utaona kuna tangazo juu yake,endapo utaona kuna kajitangazo juu yake inakubidi ukaondoshe kaalama ka x pembeni juu kulia ili uweze kuona matokeo vizuri.Ukigonga upand wa kushoto kuna neno SCORE hilo linakuonyesha magoli live kwa wakati wote,na upande wa kulia kuna neno LEAGUE TABLE ukiligonga neno hilo unaweza kuona msimamo mzima wa ligi kuu nchi Uingereza.

Nategemea kila mmoja wetu atakuwa amenielewa vyema kadri nilivyojitahidi kuwaelewesha,kama kutakuwa na swali na jinsi ya kukuongoza kuangalia kitu kinachokushinda unaweza kutuma email yako kupita magangaone@gmail.com au kuuliza kwa njia ya simu +32 492 22 33 25.Nategemea kila mmoja wetu atafaidika na wepesi huu.
     Ahsanteni Sana. ``Maganga One Blogger``