Nchini Belgium kesho tarehe 13/11/2011 kuna mbio ndefu za dunia,kwa mwafrika yoyote wa pande za nyumbani (east afrika) ambaye ameshiriki kwenye mashindano hayo,tafadhali awasiliane na mimi kwa namba zangu hapo juu ili tuweze kumpa sapoti mimi na familia yangu.nitakuwepo eneo la tukio kuanzia mashindano yanapoanza na mpaka mwisho.Maganga One Blogger.