Hapo jana maeneo ya Tandale uzuri mambo yalikuwa kama unavyojionea pichani.Watembea kwa miguu na magari ya abiria njia moja.Kiukweli bado tuna safari ndefu sana mpaka kufikia angalau tujiite nasi ......