Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na taifa kupitia kwa mamia ya Wazee wa jiji la Dar es salaam katika ukumbi wa PTA jana jioni ambapo alitumia fursa hiyo kuelezea hali ya uchumi wa nchi pamoja na kutoa ufafanuzi juu ya mchakato wa kupata katiba mpya na kuelimisha umma nini kinaendelea.