Huwezi amini macho yako pale utakapoambiwa kijiji kizima kinakuja kushangaa Laptop,ukiangalia vizuri hata mbwa anasema Aaah..!!!Swali kijiji hakina umeme je laptop ikiisha chaji itakuwaje?haya kazi kwenu wajuzi wa mambo....