Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia usiku huu Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba.
Makofi baada ya hotuba ya Rais.
Prince Charles na mkewe nao wakitoa zawadi kwa wenyeji wao.
Rais Dkt Jakaya Kikwete akitoa zawadi ya kinyago ch ‘Ujamaa’ kwa wageni wake.