Rais Dkt Jakaya Kikwete akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi zaidi ya 15, wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika leo Ubungo Plaza jijini Dar.
 Wadau waklimsikiliza Rais Dkt Jakaya Kikwete wakati akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma.
Mabalozi wa nchi mbalimbali wakimshangilia Rais Dkt Jakaya Kikwete alipokuwa akifunga Mkutano wa Kazi (Business Meeting) uliojadili Mpango wa Uwekezaji Katika Sekta ya Kilimo na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta hiyo wakiwemo mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa, mawaziri na viongozi serikalini pamoja na wadau wa sekta ya umma. Mkutano huu wa siku mbili umefanyika leo Ubungo Plaza jijini Dar. Picha na Ikulu