Rais Dkt Jakaya Kikwete akimpokea Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles alipowasili Ikulu, Dar es salaam, leo asubuhi.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Prince Charles mara baada ya kuwasili Ikulu leo. Nyuma yao ni Rais Kikwete na mke wa Prince Charles, Camilla.
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiongozana na wageni wao juu ya zuria jekundu huku vijana wakiwashangilia
Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama Salma kikwete wakiongozana na wageni wao juu ya zuria jekundu huku vijana wakiwashangilia.


Mambo ya utambulisho yanapochukua nafasi.