Rais Jakaya Kikwete akioneshwa sehemu ya maporomoko ya mradi wa umeme wa Lumama unaomilikiwa na Kanisa Katoliki jimbo la Njombe wakati alipouzindua katika eneo la Maweni wilayani Ludewa katika Mkoa wa Iringa. (Picha na Ikulu).