Karibu karibu muheshimiwa,karibu nyumbani.Pichani Maalimu Seif akimkaribisha rasi wa Zanzibar Dr,Ali Mohamed Shein nyumnani baada ta ziara yake akitokea UAE.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na watoto baada ya kumvalisha shada la Mauwa jkana
akitokea safarini katika nchi za UAE 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed
Shein,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ua kuwasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa was Abeid Amani Karume Air Port,akitokea
nchi za UAE,katika ziara za kuimarisha uhusiano wa kihistoria na nchi
hizo. Picha na Othman Maulid Habari naMaelezo Zanzibar.