Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waandishi wa Habari wa Bara na visiwani,kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja tokea kushika nafasi ya Urais wa Zanzibar,Ikulu Mjini Zanzibar.
Waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali Bara na Visiwani wakimskiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipozungumza na Waandishi wa Habari wa Bara na visiwani,kuhusu mafanikio ya mwaka mmoja tokea kushika nafsi ya Urais wa Zanzibar,Ikulu Mjini Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,IKULU
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakiendelea kumsikiliza kwa makini Rais wa Zanzibar ambaye hayupo pichani.