Sehemu ya bunduki zilizokamatwa na Jeshi la polisi katika kijiji cha Usinge kilichopo mkoani Tabora na Kibondo mkoani Kigoma katika operesheni maalum iliyofanyika hivi karibuni.