Mshambuliaji wa Moro United, Gaudence Mwaikimba akimtoka beki wa Simba, Shomari Kapombe wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara uliochezwa leo kwenye uwanja wa Azam,Chamazi jijjni Dar.Matokeo ya mchezo wa leo ni Simba 3-3 Moro Utd.(picha kwa Ihsani ya Michuzi)