Kutana na Mtanzania mdogo mwenye mambo makubwa nchini Marekani anakwenda kwa jina la Stanboi.Angali Video yake mpya inayokwenda kwa jina la ROUND AND ROUND akiwa amefanya kazi zake nyingi chini ya udhamini mkubwa wa K-PUSH ENTERTAIMENT ambao umekuwa ukimuangalia vyema kijana huyu.Maganga One blog inampa Big up Stanboi na K-Push Entertainment kwa kazi nzuri za usimamizi wa kijana wetu wa Tanzania.