Swahili Villa Blog.
 Cheif wa swahilivilla ambaye ni swahiba wangu  akipata flash na mgeni wa Greater Silver Spring Chamber of Commerce (GSSCC) Jo Anne Lopez ambae ni mmoja kati ya dada zake muimbaji maarufu Jennifer Lopez kwenye kongamano hilo lilofanyika Down Town Silver Spring ndani ya ukumbi wa jumba la Discover Nchini Marekani.