Na swahiba wangu wa Swahili Villa.

Dunia inazidi kudumaa kwa vituko vywa wanadamu kila kukicha, hawa ni wanaume ambao ni mashoga wa kispanish, wapo wengi tu mitaa ya ``kavurugeni`` ambayo ni maeneo ya Hyasttsville jimbo la Maryland nchini Marekani.

Mashoga hawa ambao ni mtu na rafiki yake mmoja anaitwa Daniel Gonzales na (Kulia kwako) ni Francisco wanapendana yale mapezi ya kufa na kuzikana, utakapomuona Daniel na Fransisco yupo nyuma yake, kama ule mfano wa ``Pete na chanja``.

Habari ndio hizo mashoga wakispanish utadhani wasichana usipoangalia utaingia mkenge, chunga sana utakapotembelea maeneo usioyajua na hasa ukiwa katika hali ya kuchanganya madawa``Pombe`` unapokuwa katika starehe za kujichanganya na watu kama hawa. Mambo haya kwenye nchi yetu hayatakiwi kabisaa.