Ukiiangalia hii picha vizuri utaona kwa nyuma ya hawa wahusika kwamba kumekatazwa kupiga picha aina zote au kufanya hata mahojiano.Ubishi wa wanadamu ni moja ya maisha yao,hii picha imepigwa na swahiba wangu Abou Shatry nchini Marekani.