Wahitimu wa Shahada ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira, tawi la Dar es Salaam, wakisubiri kukabidhiwa vyeti vyao wakati wa Mahafali ya Tano ya Chuo hicho yaliyofanyika Dar es Salaam. (Picha na Yusuf Badi).