Wataalam na watumiaji wa hii kitu,yani hapo wanita full Handasi.kama yeye anapiga salut akiwa na mirungi kibao mdomoni basi mimi namvulia kofia kabisaaa.