Mhitimu wa Shahada ya Sanaa na Ualimu wa Chuo Kikuu cha Waislamu Morogoro (MUM) katika Mahafali ya Nne ya Chuo hicho, Neema Lihawa, akiwa na mwanawe mchanga wa miezi mitatu, Arqam Shaaban, baada ya kutunukiwa Shahada yake na Mkuu wa Chuo Kikuu hicho, Hajjat Mwatumu Malale kwenye viwanja wa chuo mjini Morogoro. (Picha na John Nditi).