Kundi la uswahilini Matola nalo lilikuwepo uwanjani hapo kuleta ladha ya muziki,washabiki wakitulia tulii kusikiliza ujumbe.
Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Gangwe Mob, likiongozwa na Inspekta Haroun pamoja na Luteni Karama wakikamua vilivyo mbele ya mashabiki kibao waliojitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya mchana huu.