Baadhi ya wananchi wakiangalia mabaki ya moja ya magari yaliyopata ajali eneo la Kimara Resort, jijini Dar es Salaam jana huku mwili wa mmoja kati ya waliofariki dunia ukiwa bado umenasa kwenye gari hilo.