Haya ndio tunaweza kuita maendeleo,maendeleo bila maelewano sio maendeleo,maendeleo bila muafaka sio maendeleo,maendeleo bila kusikilizana? sio maendeleo....Na maendeleo bila makubalianao sio maendeleo..Mie binafsi nawasifu sana viongozi wangu wa pande zooote,nikisema zote naamanisha zote na vyama vyote vya siasa kwa mfumo huu wa maelewano na kuilinda amani yetu.TUSIKUBALI KUSHAWISHIKA KWA NIA YA YOYOTE KUIPOTEZA AMANI,Tuangalie wenzetu wanavyoshindwa kuzirejesha AMANI kwenye nchi zao.Miaka 50 ya uhuru iwe burrrrdani kwetu sote jamani.