Miziki ya Enzi zetu yani ilikuwa ni full ujumbe wenye ukweli ndani yake..Vijana wa sikuhizi wanaiponda na kusema miziki ya wazee,haya tuachieni wazee miziki yetu.