Habari za kusikitisha ambazo nimezipokea kwa njia ya simu kwamba msanii wa muziki wa Bongofaleva Mr Ebbo amefariki dunia mapema leo asubuhi.kwa maelezo zaidi ya chanzo cha kifo chake nitawaletea baadae.
Enzi za uhai wake Mr Ebbo alikuwa ni burudani tosha kwa wananchi wa ndani na nje ya nnchi kwa nyimbo zake za kuchekesha na ambazo kuburudisha.Kwa kuwa ametangulia nasi tutafuata,Mungu amsamehe makosa yake,Amen.