Bidada Naima kushoto akila pozo na malkia wa mipasho Hadija Kopa.
Dj Key naye hakubaki nyuma pale alipojumuika na Malkia ili kupata kumbukumbu.
Weee wachaaa weeee.Kopa na mashabiki wake ambao hawakuficha hisia zao walijumuika pamoja katika kujimwayamwaya.
Mziki mzima ukumbini hapo ulikuwa ukiletwa na vijana hao pichani,kwa kweli vijana hawa walifanya kazi zao vilee inavyotakiwa.Hongereni sana.
Hadija Kopa ukitaka kuchenguka atakuchengue ile mbayaaa..jionee hapo jinsi mtu alivyoinuka kwenye kiti na kujimwayamwaya na Malkia kopa.
Ilikuwa raha sana  kwa kila aliyefika ukumbini hapo,watu walipata radi za Camera kama kawa.
Bidada Fatma kushoto akiwa na jopo la mashostisho ambao walipendeza ukumbini hapo.Kinadada hao kila niliyebahatika kumuhoji alisema kafurahi sana na show ya Hadija Kopa.
Mama weee,full mzuka jamani.
Toka kushoto niTajiri wa pili duniani bwana Kabila,anayefuata ni Brother Hasheem wakiwa wameketi na mdau mkubwa wa Maganga One Blog bwana James.
Bidada Victoria Posh kushoto na bidada Tabu ambao kwa namna moja ama nyingine walioweza kufanikisha shughuli nzima kwenda hewani..hongera zao kwa ushujaa huu.
Brother James mwenye T-shirt ya mistari mbele,anayefuata ni mdada wa nguvu ulijikita nchini Belgium bidada Salma,nyuma ya Salma ni Tajiri wa pili Duniani bwana Kabila na wa mwisho ni brother Bachala ambaye kwa namna moja au nyingine amefanikisha shughuli nzima kwenda sawia.

Masharobaro wa mtoni wakishow some love kwa Camera man,hali ilikuwa nzuri sana ukumbini hapo.
Waheshimiwa wakitulia tulii kuangalia show.
Hawa ni maswahiba wangu Kulia ni Kamanda Kaseke na  brother Adam .
Wacha wee kula miaa hiyooooo .
Kushoto ni Alberia na bidada Chia cheki walivyopendeza jamaniii.
Maganga One Blogger,bidada Tabu na Big Father ambao ni wamoja waliofanikisha shughuli nzima.
 Sharobizoo wa Holland Brother Chula kushoto,nyuma Uncle,Malkia Kopa na Maganga One Blogger,wakipata kumbukumbu.
Ni wakati wa kujimwayamwaya,kila mmoja akiwa huru kujiachia.
Kulia ni Junior,swahiba wa junior na mdada wa nguvu toka Belgium Salma.Waungwana nawatakia sikukuu njema kwa kila mmoja wetu.Ahsanteni.