Dj Khatib mwenye tarumbeta mkononi na mkewe kulia kwake walishindwa kuketi pale Malkia wa mipasho East Afrika alipokuwa akiwadatisha mashabiki wake.
Wageni wa VIP wakiwa hawaamini kinachoendelea ukumbini,maana Kiukweli Hadija Kopa katoa zawadi ya funga mwaka jijini Den Haag kwa kukonga nyoyo za mashabiki wake wa taarabu pale alipowaburudisha usiku wa Christmass,kutoka kushoto ni Mrs Mega,Mrs Aziz na Mrs Hasheem.
Waaww..!!!! ni Junior akiwa na dada la nguvu bi Salma Hussein toka Gent nchini Belgium kuja kumshuhudia malkia wa mipasho Afrika Mashariki.Mashabiki mbalimbali toka mataifa mbalimbali walifurika ukumbini kuja kuburudika na show ya Bi Hadija Kopa.
Raha ya Hisia ni pale unapojiachia,Kila mmoja akiwa na mzuka kichwani kwa sauti tamu ya Hadija Kopa ikitumbuiza ukumbuni hapo.mwenye gauni ya rangi nyekundu ni bidada Fatma akiwa na jopo la mashoga zake wakila raha kwa nafasi zao.
Everyone is interest with Hadija Kopa,ebu angalia na hapoo duuuh ni full mzuka wallah...show bab kubwa,watu bab kubwa na sehemu bab kubwa na mezani bab kubwa.
Kopa weee kopa weeeee.....