Japan ilitengeneza mashine ya kukamatia wezi na kuipitisha ktk nchi tofauti kwa ajili ya kuifanyia majaribio.
Japan baada ya dk 9 ilikamata wezi 4,711
china baada ya dk 15 ilikamata wezi 11, 507
Nigeria baada ya dk 6 ilikamata wezi 141,333
Kenya baada ya dk 2 ilikamata wezi 55, 312
Tanzania baada ya dk 5 mashine yenyewe iliibiwa...........


Na mwanamabadiliko.