Mmoja wa wakimbiza Mwenge kitaifa, Vicky Mbunde akiingiza mwenge kwenye gari mara baada ya kuzindua mradi mkubwa wa ujenzi wa mabweni ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Tusiime ya Tabata, Dar es Salaam utakaogharimu Sh bilioni nne. (Na Mpigapicha Maalumu).