Unaweza kujiuliza ni jinsi gani hii gari ilivyonasishwa juu bila kuanguka.
Angalia vizuri jinsi iliyowekwa na kuvutia watu wanapopita.moja ya vivutio katika mji wa Rotterdam nchi Holland.
Nchi ya Holland imezungukwa kwa maji na kuufanya mji kupendeza kila unapopita unakutana na maji.

 Kila kukicha bado wanasukuma maji kando na kuendeleza ujenzi,ni ujenzi unaotumia gharama kubwa sana na akili nyingi ili kufanikisha ujenzi huo unaofanya nchi yao kuonekana nzuri na ya kuvutia.tunajifunza nini kwa hizi picha?
(Na Hija wa Maganga One Blog - Holland)