Mdau wetu Husna kutoka pande za Sinza jijini Dar es Salaam ametomba tumewekee burudani ya Taarabu ili aburudike na Jumamosi ya leo.Kazi kwako bidada Husna sie kazi yetu kuwafurahisha wapenzi wetu.