Vijana wanaopandisha Mwenge wa Uhuru kilele cha Mlima Kilimanjaro wakianza safari yao baada ya kuagwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Leonidas Gama, Marangu mkoani humo. (Picha na Anna Itenda, Maelezo).