Kipindi cha majira ya baridi kimeshamiri huku ulaya majani yote kwenye mti hupukutika,lakini cha ajabu majani ya ardhini huchipua vizuri na kuonekana yenye nuru mpaka raha.hii ndio ulaya.
Kama hujui unaweza kusema mti ndio unakwenda ALIJOJO kumbe ni hali ya kipindi cha muda fulani tu,na hali hii ikiisha mti ujaa majani utasema haikuwa hivi,cha kushangaza ni kwamba hali hii huwa hivi kipindi cha baridi na inapokuwa kipindi cha joto miti yote ujawa na majani mengi sana.(Na hija wa Maganga One Blog)