Hello kila mmoja.
Wapenzi wa Maganga One Blog,Blog yenu pendwa katika kuboresha utamu wa blog kuna radio ambayo imekuwa ikisikika kwa baadhi ya watu wanapoifungua blog,hii katika kuleta ladha kwa msomaji ambaye anaweza kupata taarifa zaidi ya anazozisoma.

Kama mtu kuna wakati unahitaji kusoma bila kusikiliza radio unaweza kuizimisha kwa kubonyeza kijitufye cha play na itasimama  na kukufanya kuendelea na shughuli zako kama kawaida.Radio ipo upande wa kulia wa blog,ni kajibox kadogo.kuna radio mbili unaweza kufanya chaguo lako katika kusikiliza,kumbuka radio zote ni live radio.

Nategemea kwamba nitakuwa nimeeleweka vyema na nawatakia kila mmoja usomaji mzuri wa Blog yenu ya Maganga One.maoni yanakaribishwa kwa kila mmoja.Ahsanteni sana,Maganga One Blogger.