Mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo' kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', wakipima uzito jana, kwa ajili ya pambano lao la leo litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni KIjichi, Dar es Salaam.
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya' akiwa katikati ya mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo' kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', baada ya kupima uzito jana, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika leo kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni Kijichi, Dar es Salaam kwa ajili ya sikukuu ya Christmass.