Haya haya tena leo tarehe 24 mwezi huu wa Dec 2011 hasiyekuwa na mwana ajibebe,Mkesha wa Christmass raha iliyoje kuwa na Malkia wa Mipasho Tanzania Bi Hadija Omar Kopa jijini Den Haag nchini Holland.

Kwa wakazi wa
Den Haag,Roterdam,Almere,Amsterdam,Helmond,Eindhoven na vitongoji vyote vilivyopo ndani ya Holland ule wakati wa kujimwayamwaya ndio huu tena,funga mwaka kwa kuinua vidole juu,mambo ya pwani,mambo ya Utajiju......

Wapi? Den Haag
Mtaa-Van der Kunstraat 292
2521 av.den haag
Kiingilio ni euro 20 tu.
Ukumbi huu ni ule ukumbi alipofanya show Mzee Yusuf,kila mmoja amfahamishe na mwingine.

Waswahili wanasemaaa Gari la kuvutwaa haliovateki,ule wako ukose madikodiko ya Malkia wa mipasho utakuwa umejinyima burrdani,amekuja na zawadi ya Chrismass ambayo kila mmoja hatakiwi kukosa ukumbini.