Mlezi wa Hospitali ya CCBRT, Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda akifurahia jambo na mtoto aliyefanyiwa upasuaji na kuwekewa jicho bandia katika Hospitali ya CCBRT Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Maalumu)