Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakiwatanya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) waliokuwa wakivuruga mahafali ya wenzao, wakidai kurudishwa kwa Serikali ya Wanafunzi (MUHASSO), chuoni hapo. (Picha na Fadhili Akida).