Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja (wa pili kushoto), akipokea moja ya kamera ndogo 20 zilizotolewa kama msaada na kampuni ya Puma Energy Tanzania kwa lengo la kuimarisha ulinzi nchini. (PICHA: TRYPHONE MWEJI)