Kuna mzungu alifika benki na nyani wake,akaenda kumfunga sehemu walipokuwa wamekaa waafrika akawaambia "Embu mchungeni ndugu yenu huyu",na yeye akaingia benki.

Wale waafrika wakachukia kuambiwa wana undugu na nyani wakamuua yule nyani.Yule mzungu aliporudi kamuona nyani wake kafa akapanic kwa hasira na kuanza kuuliza nani aliyemuua nyani wake.Wale waafrika wakamjibu "Hayo ni mambo ya kifamilia hayakuhusu".


                ``Kamanda Kaseke``Amsterdam.