Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein,akimfariji Mtoto Fadhila Machano,8 mkazi wa Welezo aliyelazwa Hospitali ya Mnazi Mmoja, alipotembelea wagonjwa waliopata ajali, ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa Muongo wa Usalama barabarani. (Picha na Ramadhan Othman)