Ramadhani Nasibu (kulia) akipambana na Anthony Kariuki wa Kenya Ijumaa kwenye ukumbi wa DDC Keko, Dar es Salaam. Nasibu alishinda kwa pointi.
Ramadhani Nasibu akinyoshwa mkono juu na mwamuzi, Said Chaku baada ya kuibuka mshindi kwa pointi wakati wa mpambano wake na Anthony Kairuki uliofanyika juzi Ijumaa kwenye ukumbi wa DDC Keko, jijini Dar es Salaam.